Powered By Blogger

Sunday, September 12, 2010

bubujikwa chozi: masikitiko

bubujikwa chozi: masikitiko

masikitiko

wiki hii sikukuu ya iddi elfitr tumekuwa na habari za majonzi ndani jiji la dar es salaam haswa wilaya yatemeke,hali hii inasikitisha haswa kwa wafiwa ,watoto wawili ktk siku ya idd elftr wamefarikh wengine ni majeruhi wamelazwa hospitali,hali hii haipendezi kwani inatukumbusha tukio lilotokea mkoani tabora takriban miaka miwili ili yopita zaidi ya watoto kumi walifariki kwenye kumbi za disco zijulikanazo muungano mesi manispaa ya tabora.nahili nitukio jingine lalufa watoto wetu kwenye kumbi ya disco wilaya yatemeke halii itakoma lini ?umakini unahitajika haswa wandaaji wakumbi hizo na wamiliki muda uangaliwe haswa kwa watoto chini ya miaka kumina minne.waweze kutolewa mapema ikiwezekana saa kumi nambili nanusu wawe wanatoka ukumbini hii ingali itasaidia inshalaah mungu yupo

Friday, September 3, 2010

hasara

teknolojia hii ya simu za mikono(mobile phone)imekuwa nahasara kubwa na imekuwa ikileta matatizo katika jamii,kila kukicha tumekuwa tukisikia wanachi wakiporwa simu za gharama ya juu na ya chini,imeleta majonzi katika familia,misiba.mammmma

mafanikio

mafanikio ya kiteknologia ya mawasiliano yamefikia mahala pakushindwa kusemeka ni maendeleo yaharaka kulikoilvyotazamiwa.nikipindi kifupi tangu kugunduliwa simu ya mikone (mobile phone).